Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada umeona wanachi wa Sri Lanka? Wamevamia Magogoni yao, mambo wanayo fanya hapo kwenye jumba jeupe, mbavu cna, yaan full kuchekaaaa.
Nimechaka yaani, raia wanaogerea kabisa[emoji23][emoji23]

Ingekuwa Tz nahisi wale wa mabakamabaka wangefanya yao[emoji23]
 
Nimechaka yaani, raia wanaogerea kabisa[emoji23][emoji23]

Ingekuwa Tz nahisi wale wa mabakamabaka wangefanya yao[emoji23]
Wengine hadi bafuni kabisaa anaoga, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…