spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,136
- 21,879
Ni kama ananijua π π πYaan wewe na coca mnanifraishaga sana[emoji23]
Nkamu ndo umemficha hivyo mpiga pichaπ€£π€£View attachment 2286676
Nkamu maji tu
Nyie[emoji23]Inastaajabisha hanijui ila ni kama ananijua
Dereva ndiye analijua vizur gari lake
Abeeeeeh, anisamehe tyuuh. Nimesema ukweli.Dogo
Umbea tu aunt πNkamu ndo umemficha hivyo mpiga pichaπ€£π€£
Enjoy weekend yako nkamu maisha ni haya haya
Shikamoo dogoKubwa[emoji23]
Picha zako anazionaga.Ni kama ananijua [emoji28][emoji28][emoji28]
Umbea suna auntπ€£π€£π€£π€£Umbea tu aunt π
Nakupendaga[emoji7]Abeeeeeh, anisamehe tyuuh. Nimesema ukweli.
Kuna mzigo nilifata hapo πmm sio wa level hizo aunt elayng ya mawazo mnoπShangaziiiiii ulikua wapi hapa? Mbna ni km eneo expensive hivi.
Ulitisha sanaaaa, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Shikamoo kubwa au nipige na goti?Shikamoo dogo
Uko ni kufahamiana na sio kujuana na hata ivo utamfaham mtu kwa picha 7? na upate muda wa kutizama kwa umakini ivo?Picha zako anazionaga.
Tumshukuru tu mpigapichaππUmbea suna auntπ€£π€£π€£π€£
Oooh sema nyie ni watani.Uko ni kufahamiana na sio kujuana na hata ivo utamfaham mtu kwa picha 7? na upate muda wa kutizama kwa umakini ivo?
Nkamu ndo umemficha hivyo mpiga picha[emoji1787][emoji1787]
Enjoy weekend yako nkamu maisha ni haya haya
Hapana usipige usipigeπππShikamoo kubwa au nipige na goti?
Usitake kukwepa kumtoa out Babu yako Mjukuu π€ͺMm nilikuwa nauliza sijatoa jibuπ
Nkamu enjoyNkamu naipenda ndoa yangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Thank you Nkamu