Selfika na JF: Snap it. Show it

Aunt ulikuwa unajisomea ungechanganyikiwa auntyako nilipita na kimini[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilisomaa wee, nkaamua kulala, now napuyanga humu ndani.
Naomba nione hiko kimini tafadhari shangaziiii, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Ndyo una ubinuagq kusudi, nliwahi kukuambia iko siku ntasema, nlijua ndo mdomo wako ulivyo, kumbe uko vizuri tyuuh. Afu una binua ndo mapozi mwenyeweee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa vita hii hii

Huyo muoaji yuko wapi[emoji848]

Ngoja wakuzeekee hapo home

Ndio utajua hujui
Wacha kunitisha ili nipunguze mahari

Kwa jinsi walivyo warembo, sidhani kama watakosa waoaji.

Uzuri wake wote walipokea Yale maombi ya Upepo wa Kisulisuli πŸ€ͺπŸ€ͺ
 
Una lips nzuri, tena za pink.
Demu ako anafaidi kuzilamba na kuzing'ata.

Ila unajiharibu kubinua, mwisho wake utazoea na utalegea mazima.
Mie nilihisi ndo mdomo wako ulivyo vile, kumbe uko vizuri tyuuh. Khaaaah.
Never knew kwamba wewe unaeniona mara moja kwa mwez ungenijua ivi kulko nnaoishi nao nyumba mojaπŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…