Asante mkuu Tatizo hio naiona kubwa sana sie ndizi tunakula mara moja moja sana!!
Hako ka pembeni yahio kubwa ndefu pia kako vyedi kwa familia yangu kwa kubadili badili chakula ndani ya wiki moja katatutosha kabisa πππ!
Me najua ndizi zile za moshi ni ngumu aziivi mapema sio tamu..... Ndizi za Bukoba nene ndefu zinaiva mapema ni tamu, ndizi za Bukoba fupi aziivi mapema ni tamu pia
Me najua ndizi zile za moshi ni ngumu aziivi mapema sio tamu..... Ndizi za Bukoba nene ndefu zinaiva mapema ni tamu, ndizi za Bukoba fupi aziivi mapema ni tamu pia