makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,511
- 108,689
Muhuni katika harakati zangu nikapora suti sehemu, uchawi viatu.. 🤔
Nikapora na viatu, kisha mzee huyooo nikaenda kuupiga mpunga,
Wakashindwa tofautisha baina ya bwana harusi na mimi mzamiaji yupi ni muoaji 😂🤣
Chupuchupu nipewe mke ukumbini😂🤣
Nikapora na viatu, kisha mzee huyooo nikaenda kuupiga mpunga,
Wakashindwa tofautisha baina ya bwana harusi na mimi mzamiaji yupi ni muoaji 😂🤣
Chupuchupu nipewe mke ukumbini😂🤣