Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,849
Waongo wote hawataingia mbinguniNimekucheki
Wasap
Waongo wote hawataingia mbinguniNimekucheki
Wasap
Mambo yaliingiliana dearJuzi saa nne nikasubiri mpaka basi!!
Anaandaa lyrics zakushusha humu!!
MimiYupi tena [emoji848]
Tubariki Saivi kipenzi jamani!!Mambo yaliingiliana dear
Jana nilikuja hapa kulikuwa kimya sana
Una watu wako eeAnaandaa lyrics zakushusha humu!!
Kabla sijasinzia lazima nishushe maversesssssss !!Ila sijui hata namuimbia nani hata 🤔🤔🤔🤔😉
Nawaigia Tinsley na Joan nione kama nitapata wa kumtungia Zangu sasa 😂🤣🤣🤣🤣Una watu wako ee
Humu wewe si shangazi jmn? Unataka mpwa sasa?Nawaigia Tinsley na Joan nione kama nitapata wa kumtungia Zangu sasa 😂🤣🤣🤣🤣
Tatizo humu nishashindwaga sasa🙌
🙌🙌🙌🙌🙌🙌setakeeeeeeeeeHumu wewe si shangazi jmn? Unataka mpwa sasa?
[emoji23][emoji23] Ili usingizi ushuke vizurikabla sijasinzia lazima nishushe verses weeeee usintanieeee [emoji12][emoji12][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
Santeee[emoji7]
🤣🤣🤣🤣 nimekomaa mbona 🙌🙌🙌🙌🙌🙌!!Isije pasuka koo bure totoo
sauti imekata siimbi tena kipenzi 🤣🤣🤣😌😌[emoji23][emoji23] Ili usingizi ushuke vizuri
Nimeweka nimetoaTubariki Saivi kipenzi jamani!!
Jamanii tina!!🙆🙆🙆 Saivi niko macho kodo pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Nimeweka nimetoa
Mko busy hujaona
Onataka nene hosa totoo zema nezekiee🙌🙌🙌🙌🙌🙌setakeeeeeeeee
Wacha nitulize mshono tu🚶🚶🚶🚶🚶!!
😳😳😳😳 lugha gani kwani hii mwanangu??Onataka nene hosa totoo zwma nezekiee
Una sauti ww binti kumbe unajua kuimbaAcha tu Madam [emoji7]
Oh la-la-la, mwenzenu nakuwa chizi
Mambo tunayopeana, tunayopeana
Ah, salala, kumbe mapenzi ndo' hivi
Oh, maana naona nampendelea sana