Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Konyagi ziliisha etiHivyo hivyo selfika bana,, nguchu hadi vant aisee [emoji23][emoji23]
Selfika kwanza ukimaliza unapata vant yako
Wacha bhana[emoji848][emoji1787]Madam nimekumiss
Kweli kabisa maua mengi kwani sisi nyuki😂😂 weka vyuku tu
Mrembo mambo?Kweli kabisa maua mengi kwani sisi nyuki😂😂 weka vyuku tu
Poa habari yako mkuuMrembo mambo?
Niko poa dadake...unaadimika mnoPoa habari yako mkuu
Kweli anaandiia warakaPost M-alone is typing..
Nipo mkuu, majukumu kidogoNiko poa dadake...unaadimika mno
Selfika leta maneno[emoji1787]Kweli kabisa maua mengi kwani sisi nyuki[emoji23][emoji23] weka vyuku tu
Pambana kabla ya jua la jioni mamaNipo mkuu, majukumu kidogo
Itakuwa posa anakuandikiaNipo mkuu, majukumu kidogo
1992, MJ in Tanzania with former president Ali Hassan Mwinyi.
Posa ipi tena mkuu 😂Itakuwa posa anakuandikia
Na wewe ni li zuri bhana
Hilo kochi miaka hio anakalia mgeni wa heshima kama MJ na raisi ikulu 🙂Ndio palikuwa hivyo[emoji848]
Kochi na mavitambaa hayo[emoji848]