Kuna kitu kimoja kwa kijana sitokitaja...πππNini umenyimwa?
Pale wapi tena?
Watu wachache wametufanya tukose vitu adhimu kabisaaNdio ipi hio??? Tatizo jf mna mambo mengii zaidi mjomba Mie πππππ kitamboooo ππ!!
Mie Siwawezi mjombaa acha nipambane nahali yangu tu!!Watu wachache wametufanya tukose vitu adhimu kabisaa
Uko the palace nini ππKuna kitu kimoja kwa kijana sitokitaja...πππ
Ila mie naomba uni wazie kwa namna ya kipekee.. nipe kaupendeleo shangaziMie Siwawezi mjombaa acha nipambane nahali yangu tu!!
π€π€π€π€π€π€π€Uko the palace nini ππ
Kwani ulituma ?Akupe vocha yako mkuu
Funga hivyo hivyoπ€π€π€π€π€π€π€
Ukiona cha simamaFunga hivyo hivyo
Humu vivuruge waziwazi mie siwawezi mjombaa!! Acha wahuku mtaani wanipange bila mimi kujua mjomba humu shikamooni tuπππππ!!Ila mie naomba uni wazie kwa namna ya kipekee.. nipe kaupendeleo shangazi
Shangazi usinifanyie hivyo mjomba wako.. nitakata roho huku ado nataka kutembea tembea ππHumu vivuruge waziwazi mie siwawezi mjombaa!! Acha wahuku mtaani wanipange bila mimi kujua mjomba humu shikamooni tuπππππ!!
Eeh Mama kitu kituKwani ulituma ?
Jirani π πVijana wana tabu sana!
ππAnajiamini sijui nini ππ au ndio wale mrefu mwembamba anakuwa vyedi π π€£π€£
Basi anajiona ye ndio yeye
Ukipangwa na wewe panga πHumu vivuruge waziwazi mie siwawezi mjombaa!! Acha wahuku mtaani wanipange bila mimi kujua mjomba humu shikamooni tuπππππ!!
Hahaha... mrashia wangu anitosha mjomba moyo wangu ni mdogo sana hautoshi Watu wawili mjomba!! π Usinigombanishe na rafiki zangu mjomba!!Shangazi usinifanyie hivyo mjomba wako.. nitakata roho huku ado nataka kutembea tembea ππ
Siwezi humu nimeshatoka kitambo mie . Learning through mistakes mdogo wangu!!Ukipangwa na wewe panga π
Nianzie page ipi?Elli emu pitia hapa kwanza π€