kama zipi boss wanguVipi akijaga mwanachama mpya wa kike au wa kiume zile heka heka wanazosemaga ni kweli??
ðŸ¤ðŸ«£ðŸ«£Aisee....safi jiranii..
Tunajua ulikuwa kwenye harusiJioni ya tbtView attachment 2280991
So what??
Namuona yule kwa Mbali ni kanisa gani hapo broo#WorshiperView attachment 2280995
Nyau nyau
Karibu Mr .
Karibu chamani Pau MontannaMbichwa una shida gani? 🤣🤣
Mkaribishe mrembo chamani Lenie mwambie vile umenyoa ukadamshi zaidi.
Waoooo Asante sanaWali samaki na kisamvu ..
Karibu Mr .
Ooh vizuri Mr
Will do
Short hair for life 😂
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na matokeo yake...!!!
Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani. Fanya hivi, hapo ulipo tupia picha yako ya sehemu yoyote mwilini. Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa. Mimi nitaaza na hizi.

