Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Sexy socksVibe [emoji2][emoji2]
View attachment 2280119
Hiko kitabu unasoma na kukimaliza kbsa[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Vibe [emoji2][emoji2]
View attachment 2280119
Uoga wanini tena mamdo nauzee wote huu naogopa nini sasa!๐
Nipumzishe akili mapema kwa ajili kuanza wiki ya kazi vizuri kipenzi!!Dada leo mbona mapema ๐ฅบ
Nilikuwa kwa x wangu sijawah kupata vocha humu toka nizaliwe Nina nyota ya lipumbaUoga wanini tena mamdo nauzee wote huu naogopa nini sasa![emoji6]
Jana zikiwekwa vocha kama zote humu Sijui ulikua unaswampia wapi !!
Hahaha ongea na mr vocha akufanyie wepesi mamdo!Nilikuwa kwa x wangu sijawah kupata vocha humu toka nizaliwe Nina nyota ya lipumba
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Nifanyie wwH
Hahaha ongea na mr vocha akufanyie wepesi mamdo!
Mie nipo pabaya kupata vocha Saivi ngumu!!
Kila mtu yupo pabaya haya endeleeni na ubaya wenu mxieeew [emoji34][emoji34][emoji34]Mie nipo pabaya kupata vocha Saivi ngumu!!
Hahaa Mjep pullliiizzzzzzzzzzzzzzz okoa jahazi hukuu sio kwa hii misonyo tunayobamizwa !!Kila mtu yupo pabaya haya endeleeni na ubaya wenu mxieeew [emoji34][emoji34][emoji34]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Sio wote tunakaa Manzese ukitoka nje tu unakutana na dukaโฆ. MxieeeeeewwKila mtu yupo pabaya haya endeleeni na ubaya wenu mxieeew [emoji34][emoji34][emoji34]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Kwahyo unataka kusemaje kwa sie tunaoishi Manzese kwa mfuga mbwaSio wote tunakaa Manzese ukitoka nje tu unakutana na dukaโฆ. Mxieeeeeeww
๐๐๐
๐๐๐๐ sina la kuwaambia banaKwahyo unataka kusemaje kwa sie tunaoishi Manzese kwa mfuga mbwa
Hii nyota ya Lipumba ndiyo nyota gani chief๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃNilikuwa kwa x wangu sijawah kupata vocha humu toka nizaliwe Nina nyota ya lipumba
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Hajui kuwa wewe ni mdosi unaishi NJIRO kwa matajiri, mnanunua vifurushi vya mwezi๐๐ huko hakuna maduka mnachukua mazaga super๐๐ atakomaSio wote tunakaa Manzese ukitoka nje tu unakutana na dukaโฆ. Mxieeeeeeww
๐๐๐
Sawa wa kishua๐๐๐๐๐ sina la kuwaambia bana
Tulia wewe wakishua pro max..Sawa wa kishua๐
Mkuu hamna ๐๐๐Hajui kuwa wewe ni mdosi unaishi NJIRO kwa matajiri, mnanunua vifurushi vya mwezi๐๐ huko hakuna maduka mnachukua mazaga super๐๐ atakoma
๐คฃ๐คฃ๐คฃTulia wewe wakishua pro max..