Wengine ni maumbile tu jamani,,
Kuna uzi humu jana nimesoma, baba mtu kaja kutafuta ushauri binti yake wa miaka 12 ana maziwa yameshakuwa saa 9 jioni. Akamtuma mama na shangazi wa mtoto wafatilie kama mtoto ameshaanza hiyo michezo… majibu yamerudi mtoto hajaanza…
Sasa kaja omba ushauri amsaidie vp binti yake maana mtoto ana ziwa balaa.