Selfika na JF: Snap it. Show it

Huwa namcheka mtu anayekuwa triggered na chochote kinachosemwa mtandaoni
Nooope hapa ni km uraiani tyuuh, kuna vingine vina make sense, labda huijui JF vizuri, au hakna anaekujua physical au hata kwa Picha.

Kuna vaga lilitokeaa mtu had leo haitaki JF, na ID kabadili. Kaa kwa utulivu mate.
 
Mate nishashindikana,,, nina kaupuuzi fulani ka kusikiliza na kupuuzia hapo hapo hata kama iwe ni ukweli,, ila nikishasema ninapuuzia
mate wataongeaaaaa nkimaliza ni jibu moja tu "EH"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…