Cover tyuuh linavutia,Kama ulikuwa mpenzi wa series kama tom clancy, strike back, seal team, hanna, na treadstone
Then this one is for you
ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2279097
[emoji849]Jiamini Mwanaume
Kwa u handsome wewe fire
Wakikusifia sema ahsante
Wala usiwe na shakaaa [emoji444] [emoji441]
Wigelekelo
Babu mkuda sanaKumbe uko busy kutaka kuwahadaa Wajukuu zangu eeh?
Uzuri wake wapo humu na wamekusoma, infact lazima nikupige faini siku ukileta hicho kishika uchumba [emoji2957][emoji2957]
[emoji1787]Smatifone[emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daaah coca akili zako 2[emoji23][emoji23]Cover tyuuh linavutia,
Afu huyu mwanaume wa kati kati mbna ni lihendisamu sana,
Ngoja niitafute nilifaidi kulitazama. Woooraaaaayyyyy!!!!
Halafu
Ule mchuma nilioona humuUnaiga? [emoji23][emoji23][emoji23] Gari ina auto remote haiitaji funguo
Rumion[emoji848][emoji1787][emoji2089]Pop the clutch [emoji23]
Mie series za nje natazama wanaume tyuuh, kuna hiyo Korea drama.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daaah coca akili zako 2[emoji23][emoji23]
Daaaah wakat wengine tunaangalia action coca anamuona Chris patt[emoji23][emoji23][emoji23]Mie series za nje natazama wanaume tyuuh, kuna hiyo Korea drama.
Inaitwa ENDLESS LOVE. mamaa weee wale wahusika ni nyokoooooo.
Kuna huyo
Hang kwang hoe
Hang kwang chol.
Mtu na mdogo ake, n mahendisamu ya kwenda, afu Kuna yule mtoto wa waziri mkuu tobaaaaa, ni kisanga. Najifaidia kuwatazama tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hii movie naitafuta, hili likaka la katikati lizuri bhana wee, khaah acha nikalifaidi kuli zoom. Weuweeeeeeh
Aisee..Push to start[emoji2][emoji2]
Kaa hapo na kidumu chako πRumion[emoji848][emoji1787][emoji2089]
Mchawi kalaba π[emoji1787]
Madam kaselfie ka mchana tafadhalicocastic shoss nakusalimia mimii ππππ
Mie tena? Badala uweke wewe uliyekumbukwa π
Sina mpya mr vocha!! Habari za weekend!βMadam kaselfie ka mchana tafadhali