Usiwaze babuu takujuza Asap!Useme mapema, Kwa maana Mimi na Bibi yako tunakaribia kurudi shambani kwaajili ya maandalizi ya kilimo Cha kiangazi π€ͺπ
Fanya uje Christmas, Kuna zawadi yako ya Jogoo mkubwa amekuandalia πAendeleee tu kupokea za juu juu, maana dalili za kuja ndizo hazipo π
Sawa Mjukuu, will be pleased to see youUsiwaze babuu takujuza Asap!
Ya welcome babuu!!Sawa Mjukuu, will be pleased to see you
Ambia bibi nammiss sana ππFanya uje Christmas, Kuna zawadi yako ya Jogoo mkubwa amekuandalia π
UmemisikaKabisa best
Nipooo
Na unavyomjulia Bibi yako sijui hata umempa nini, she always speak of your name.Ambia bibi nammiss sana ππ
Nilikuwa nae tu juzi kati ila leo nishammiss,, mwambie nitakuja kabla ya Christmas π
Ili nimletee vitenge vya kushona nguo ya sikukuu
Mr.vocha aliweka eeh sasa kichwani mambo mengiNgoja nimsubiri Tinsley aje kunisomulia basi!
ππππUmemisika
Mnong'oneze aliyeshika hilo jimbo umwambie alikamatilie vzr asiachieee
Fanya zote !Mr.vocha aliweka eeh sasa kichwani mambo mengi
Picha ya mama au ya kwake ?
Maana zote aliweka
πππππSuka mama tunasubiri kutetemeshwa na photozz za kwendaaa.
[emoji482][emoji482][emoji482]
Asante πππ
Asante πππ