Aah well, I was inspired by βHanna Montana TV showβ na sticker za kubandika kwa madaftari πππPoa tu, why Montanna? yani kwa nini umejiita Montanna? sorry for asking!
Si ndio inapendeza
Hahaha,πππ JS tamu sana, inaonekanaga kama nyepesi hivi.. ila badae inaanzaga kuleta picha picha na newbie wengi walala mbele.. nikiwa mmoja wapo.. nikajikita kutumia framework ya angularjs plus bootstraps
function showMessage() { let message = "Inabidi uanze kumpa pindi, Depal !";
βalert( message ); }
showMessage();
alert( message );
Hahaa, naona hapo ume call function,,πππ JS tamu sana, inaonekanaga kama nyepesi hivi.. ila badae inaanzaga kuleta picha picha na newbie wengi walala mbele.. nikiwa mmoja wapo.. nikajikita kutumia framework ya angularjs plus bootstraps
function showMessage() { let message = "Inabidi uanze kumpa pindi, Depal !";
βalert( message ); }
showMessage();
alert( message );
ππβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈShangazi yake mtu
Nimeona hata mimi
Umechelewa mjombaaa!!! leo mapema sana Niliweka !!Mkuu unatuachaje achaje ππ
Nipo 230 Km[emoji8][emoji8][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Hapana
Karibu sana Msukuma!!!Nipo 230 Km
π π π aah wapi majanga tuNimeona hata mimi
π Sikujua kama Montanna inamaanisha mlima, ni kwa lugha ipi?Aah well, I was inspired by βHanna Montana TV showβ na sticker za kubandika kwa madaftari πππ
ningependa nijiite Hanna ila ndo hivo nimeitwa Sikujua na wazazi nikaona nibebe tu surname βMontannaβ Btw Montana inamaanisha mlima.
Nipitie basi mida midaTwende disco πππ
View attachment 2277290
[emoji8][emoji8][emoji8]Santee dear[emoji4]
TV show ya watoto π π π na wewe unaangaliaga channel ya βNickeledeonβ? ni show ya kitambo kidogoπ Sikujua kama Montanna inamaanisha mlima, ni kwa lugha ipi?
Ila inataka ku sound kama mountain,
Mie nilikuwa namfahamu Montanna na ndugu zake waliojulikana kama Country Boys, tafuta movie inaitwa American Gangster amecheza Denzel.
Safi sana, nitaitafuta hio TV show.