Nakuombea na wewe urudi chamani huwezi acha utamu wa pepsi kirahisi hiviHahaha enjoy Pepsi ni tamu
ππππ usilie basimnao raha kuchzeana ila fresh.. tatawasaidia kuwakumbusha mambo flani
Kwanin ujitese?tafuta mawasiliano Yake muombe msamaha uwe na amani.kuna baraka ipo sehemu unaiblockNatamani hata nimuombe msamaha, hata km tusiporudiana, ila msamaha wake tyuuh ntaponaaa.
πππππ. Danger mode now in. fly.. watani wangu hao dada.. hakuna serious hapaUmebongeza 'panic mode' mkuu?
Ebooo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Sasa hivi unasukuma X6 au matako yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ππππ mie nilie.. utajipendekeza sehemu ndio utajua hujui.. boss hanuniwiππππ usilie basi
Ah sidhani nimeona niache KwanzaNakuombea na wewe urudi chamani huwezi acha utamu wa pepsi kirahisi hivi
Boss na mfanyakaZi wake uwa hawagombani ππππππ mie nilie.. utajipendekeza sehemu ndio utajua hujui.. boss hanuniwi
Roho yako imejaa ukurutu Wige π€π€Utaachwa tu
video call ya bafuni πππBoss na mfanyakaZi wake uwa hawagombani ππ
Nakuja kukupenda subiri hapo hapo usiondokeKwa kweli[emoji28][emoji28] iIi nami nipendwe
πππwanawake wa humu kujikuta Beyonce hamjambo.. ila uzuri tushakubaliana na hali kwamba mie binafsi hakuna mwanamke nina muweza humu wala kummudu ππππ nyie ni dada zangu na mwabwana zenu ni mashemeji zangu
Khaaaavideo call ya bafuni πππ
hahahahaha,tuliochemka,tumeamua kukakaa pembeniπππ bora kunyoosha mikono juu, maana nao ni ushindi japo wa kinyonge
Uzuri unajua, nikaiamua kukataa kitandani naweza nisitoke 24hrs.. maana kwanza sina minyoo kwamba nitapata. njaaKhaaaa
Emu katafute pa kwenda ππππ
Mimi mwenyewe Niko kama wewe tuHizo uzi za watu smart smart, sio mabeberu wa kazi gani.. Perfume huwa nazisikia tu kwa wana.. mie toka niumbwa sijawai tumia hiyo kama vile ambavyo pombe haijawai ingia kichwani.. alafu na mie wa maajabu eeh ππππ
Huoni ulivyoachwa naRoho yako imejaa ukurutu Wige [emoji851][emoji851]
Shukran rafikikaribu rafiki,nipo hp kwa edo
πππππ bado una bahatiMimi mwenyewe Niko kama wewe tu