Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna perfume ya brevis? Sijui


We Umeona perfume ukamkumbuka..
Nikareply mie nilipanda lift ya brevis
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…ni utani tu loh!!

Sidhani kama ipo.

Sasa fanya mpango upande discovery.

Sijui kwanini vitu vizuri vinakuwa na tabia ya kustic akilini ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…loh
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ni utani tu loh!!

Sidhani kama ipo.

Sasa fanya mpango upande discovery.

Sijui kwanini vitu vizuri vinakuwa na tabia ya kustic akilini [emoji28][emoji28]loh
Discovery niliwahi isukuma toka Dar had Chuga, afu nilikua peke yangu, yule mwamba alikua ananiamini mnoooo.
Daaaah imebaki storyyyyyy!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ