[emoji23] umeclear chats wewe. Haya kama kweli pambana huwezi kosa mrembo. Alaf kile kiatu chetu kipo?Umeona simu ya single.. hata salamu sijapata.. angetokea hata mtoto wa mtu kunipa hi.. kusema love you boy, ila wapi
View attachment 2276265View attachment 2276266View attachment 2276267
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaa yaan.Afu wakirogwa wanalalamika akati shida wanazitafuta wao
πππ kwanini nifanye ku clear chart ndio ukweli wenyewe hata hi Love haipo maisha haya acha tuuu..[emoji23] umeclear chats wewe. Haya kama kweli pambana huwezi kosa mrembo. Alaf kile kiatu chetu kipo?
Waache ukorofi waambie wakanunue vya kwao.πππ kwanini nifanye ku clear chart ndio ukweli wenyewe hata hi Love haipo maisha haya acha tuuu..
sasa hivi nina kingine mkuu, vijana wanapenda kunivua viatu mdogo wao
mdau tupi kapicha .. hapa unaaga kwa kutu blessNice day wadau
ivi mda wote wote dada yangu nakaa nasubiri photo sioni πππWaache ukorofi waambie wakanunue vya kwao.
Na kwako pia π€Nice day wadau
Tulia [emoji16][emoji16] ntaweka. Afu mimi sio dada yako kaone kwanzaivi mda wote wote dada yangu nakaa nasubiri photo sioni [emoji846][emoji846][emoji846]
Tunakaribishwa??Muda wa kula huoo..
πππ ndio nasubiri hapa jamani, mtu wangu wa nguvu..Tulia [emoji16][emoji16] ntaweka. Afu mimi sio dada yako kaone kwanza
Blessmdau tupi kapicha .. hapa unaaga kwa kutu bless
iko full save na hii mkuu ππππ
mbona sio wewe huyu manyanyaso haya π₯²π₯²π₯²
Kwani unanijua?? ni mimi mkuumbona sio wewe huyu manyanyaso haya π₯²π₯²π₯²
Kuna siku ulipost hapa kitoto flani hivi kidogo dogo kizuri kizuri ππ kiportableKwani unanijua?? ni mimi mkuu
hAaah so ukaamini. Utaibiwa mkuuKuna siku ulipost hapa kitoto flani hivi kidogo dogo kizuri kizuri ππ kiportable
πππ duh! wacha nipite kushotohAaah so ukaamini. Utainiwa mkuu
Dada sister! niendelee kusubiri au umahirisha nikatafute chochote kituTulia [emoji16][emoji16] ntaweka. Afu mimi sio dada yako kaone kwanza