Alayna
JF-Expert Member
- Dec 18, 2021
- 1,010
- 3,554
Na kwako pia madam 🤍Muwe na siku njema wapendwa enjoy your time!!✌️✌️
Na kwako pia madam 🤍Muwe na siku njema wapendwa enjoy your time!!✌️✌️
Sawa baadaye mkuuLeo sina hata pic boss labda next time
dah! mnatuachaje achaje sasa vijana bila picture 🥲🥲 mbona mnatunyanyapaa sanaa nyie watu na vigogo wenuLeo sina hata pic boss labda next time
Asante na wewe piaSawa baadaye mkuu
Uwe na siku njema
Leo sina picha kabisadah! mnatuachaje achaje sasa vijana bila picture 🥲🥲
🥲🥲 yote maisha tu..Leo sina picha kabisa
Aah na kweli 😀🥲🥲 yote maisha tu..
Cha kufia khaSura inakuwa mbele
Kiuno kinakuwa kushoto
Mgongo unakuwa mshazari
Mguu mmoja kulia
Ikizama umemwaga
Ndio hiyo
kukosa napo ni aina ya kupata 🙂🙂Aah na kweli 😀
Aah ngoja niwakimbie 🏃♀️kukosa napo ni aina ya kupata 🙂🙂
Kimbia kwa umakini usije teleza ..Aah ngoja niwakimbie 🏃♀️
Na nilivyo toka speed kidogo nianguke 😀😀Kimbia kwa umakini usije teleza ..
Eeeeh! Pole chief nakuona hapa huna haja ya picture tena kama unabisha nianze kuku describe 🤣🤣🤣🤣Na nilivyo toka speed kidogo nianguke 😀😀
Asante aisee
Naomba kuondoka 🚶♀️😀Eeeeh! Pole chief nakuona hapa huna haja ya picture tena kama unabisha nianze kuku describe 🤣🤣🤣🤣
Haya hapa sasa sawa. Unaruhusiwa kuondoka kwa amani na siku yako ikabarikiwe. Ugumu Ukawe Rahisi.Naomba kuondoka 🚶♀️😀
Ili grafu la huba lipande 🤣🤣Cha kufia kha
Ameen barikiwe sanaa 🙏Haya hapa sasa sawa. Unaruhusiwa kuondoka kwa amani na siku yako ikabarikiwe. Ugumu Ukawe Rahisi.
Mungu akutunze.Ameen barikiwe sanaa 🙏