ndio pametukuza huko πππ nyie waharibifu, wale walitujenga πππ wametulea enzi tunatembea kutoka Buguruni to city center π€£π€£π€£ to kimara paka kibaha kwa miguu
ππππ mie huyu huyuu.. nilie huku hapa kuku wa kienyeji ana pasha maji kwenye mafiga matatu.. nikaogeshwa na maji ya hiriki.. we ushawai mfanyia hivyo big boy wako ππ
Natani wapi ndio hivyo hadi leo bado nakula polygon tu, sema zinajua michezo kwenye 4 by 4 π€£π€£π€£ ila hata kutembea nae soo.. mida yetu ni usiku ,π€£π€£π€£