Muwage mnaziosha bas na nyie, zinakua chafu na nyeusiiii, afu sasa zingne zunakua km na Gaga ukigusa zinatoa unga unga km utoko utoko, hio harufu sasa, km panya aliyeozaaa.
Umefanya vyema, hata ukimaliza dose unafanya kujilizisha kuwa kufanya checkup vizuri kwa sehemu tofauti. Kumekuwa na shida ya watu kutibiwa juu juu. Pole kamanda