Leo una nini Mama Mchungaji? Kuna kitu Baba Mchungaji leo kafanya si bure!
Stay blessed. Nothing like true love in this world tena umpate mnayependana, kuchukuliana madhaifu yenu na kusameheana huku mkimtanguliza Mungu mbona pepo mtaiona hapa hapa?
Ni Monday to Monday non stop yaani