Lipi hilo neno?
Nifanyie wepesi sasaWacha wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee isiwe serious eti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nataka wa Russia mie.Nifanyie wepesi sasa
Nikucheulie wareno
Hapo kunako
Hujambo jirani..Peeler/grater
Theory tyuuh, no practical. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Majaribio yanaruhusiwa...maana kwa maneno hayo unashawishi
Natembea huku nimeshikilia fimbo kipenzi 🤣🤣Huogopi kuanguka wee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shangaziiii, mie mwana sayansii nivumilie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kha aunt hta Sina [emoji23][emoji23]
Sijambo kabisa jirani, sijui wewe?Hujambo jirani..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noumaaaah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Basi basi nimeshaelewaaaa inatoshaaa[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah we.Ntakuja vizuri nikiwa mwenywe, sasa hivi nahisi akili zangu kuna mtu kanishikia [emoji1787]
Aisee ..
Sawa shangaziShangaziiii, mie mwana sayansii nivumilie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Namshukuru Mungu jirani, mambo yanaenda sawa..Sijambo kabisa jirani, sijui wewe?
Umenishinda tabia..kwanza tuma kapicha kakoTheory tyuuh, no practical. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuambia utaachwa, we ukisikia wapi ukifika kwa ankoli inaanza piga deki, salimia majirani kwanza wakupe habari za hapo.[emoji23]tutaenda shangazi nitafutie mshono konk alaf akifika ankowako naanza kupiga deki usisahau kawe kna mpasuo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Bao la pili Warusia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nataka wa Russia mie.
akili🤣Umeniangusha sanaa, ila we kiumbe ni mwembamba khaaa, hiyo miguu km fito bhana, usiwe unavaa bukta wallah, yaan nimeshindwa kuvumilia, nimecheka mnoooo.