Selfika na JF: Snap it. Show it

Hutaki tabu[emoji23].

Kuna madude ninayo hapa,,yanapika kama pressure cooker..
Ila ni vile napenda wali wa enzi za mwalimu,wa kuweka mkaa juu.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Bachelor na mijiko ya mkaa tena πŸ˜‚πŸ˜‚ naanzia wapi…

Nyie wa nyumbani endeleeni 😁
 
Mwanamke yoyote lazima awe na jiko la mkaa ndani kwake au kwavile we wakishua sio.
Naskia adi maharage unachemshia kwenye gesi
Nafanyia nini jiko la mkaa?? Godauni? Niliwashe? Liniue πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ humo ndani,, akuu mwenzangu πŸ˜‚πŸ˜‚


Maharage nachemshia kwa multi cooker au kolabo ya chupa ya chai na gas kidogo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…