Selfika na JF: Snap it. Show it

Pole chief
Nikitulia nitakusimulia labsa unaweza kua na picha ya kufikirika

Jana nilkua na bahati ya mtende
Maana naona Tu mnavyosifia mtoto mweupe km mzungu,mtoto anang'aa.Kila nikitafuta hizo picha nakutana na manyoya Tu dadeki


Leo usiku nitawasha data na kuweka notification on,naomba unitag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…