Selfika na JF: Snap it. Show it

Mama malezi.

MK ameanza kuokoka, wokovu umemfikia ameanza kutoa neno.
Ila yule asipopata mtu wa counselling anaweza kujiua.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] kachanganyikiwa na kupagawa hadi huruma.
Weee lini hiyo tena? Mungu amsaidie jamani; itakuwa Yale mambo yake yanamchanganya
 
Niliyavagaa kwa mpopo m1 yule mbwa hata staki kumuonaa mie lol.
Mbna black Americans nawapenda mnoo mie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wazungu bhana mnaendaa cafeteria, ukijua analipa yeye kumbe ujilipie mwenyewe, afu hakupi in4. Khaaaah.

Sitakiiiiiih.
 
[emoji1787]
 
Ili mradi zilike sio [emoji16][emoji16] hizo nyingine ni mbwembwe japo zikiwa nyembamba huwa zinakaa sawa sana na ukute zimepikwa na fundi hajatia hata nyanya [emoji4][emoji4]
Mkuu. Kabeji ni kabeji tu...Hata uifanye vipi ni kabeji tu.

Acha mi nikaangize bana. Nyie mnaokatiwa na mashine shauri yenu [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…