Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,212
- 29,367
Napenda mtu km wewe..Isivyo bahati nakutana na wavivuHahahaaa.. kweli Satoh!
Napenda mtu km wewe..Isivyo bahati nakutana na wavivuHahahaaa.. kweli Satoh!
Nawewe unavyompa kavu hadharani unazidi kumshusha ..😂😂Ujue me sipendi anavyojishusha bana[emoji28][emoji28]
Inakuwaje Hadi kwenye maandishi anakuwa mnyonge?
Aiyeeeeee toto la kibantuRumaiya sweetheart !!
Umekuwa km biashara United kwenye ligi ya shirikisho Africa[emoji28][emoji28] Akajitoa kwenye mashindano Kwa sababu hakuwa na pesa za kugharamia safari kimataifaHuo mzigo mm siuwezi Kaka nisije aibika humu JF
Hahaha... si unanibadilisha afanye unavyopenda wewe jamani!!Napenda mtu km wewe..Isivyo bahati nakutana na wavivu
Huu mzigo nikivua boksa tu wazungu haoRumaiya sweetheart !!
Mweh chaka tu hilo!Huu mzigo nikivua boksa tu wazungu hao
Aiseeee.....😍😍Rumaiya sweetheart !!
Ngoja niache isije kuonekana namuattack[emoji28].Ila dunia aihitaji watu dhaifu na waoga.Only the strongest Men ndy wanasurviveNawewe unavyompa kavu hadharani unazidi kumshusha ..[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm mashindano yangu ya ndondo tu huko caf hapa labda cuf ya lipumbaUmekuwa km biashara United kwenye ligi ya shirikisho Africa[emoji28][emoji28] Akajitoa kwenye mashindano Kwa sababu hakuwa na pesa za kugharamia safari kimataifa
Shida hawafunguki, sasa si tutanusa?😂Watu humu ni moto, nyie mnawabania sasa ndio shida 😄😄😄
Habib mwenzio wazungu wamenitoka hapa
Hamuwajibu PM zao,Shida hawafunguki, sasa si tutanusa?😂
Sawa ankoli[emoji28][emoji28] ngoja niache kukupush..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm mashindano yangu ya ndondo tu huko caf hapa labda cuf ya lipumba
Polee GHabib mwenzio wazungu wamenitoka hapa
Unaona pisi inakula baga chakufia nn mie
Naruhusiwa kuja kutoa mahali mrembo??
😂😂😂😂Ila wajua wanichekesha sanaUnaona pisi inakula baga chakufia nn mie