Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Nije tujumuike woteUmeona eehh..
πππ comand center ilikuwa hacked nini ? Swala zima huwa lipo kwenye akili .. akili ikiamua kukuchania mkeka inakuchaniaNina mkasa wangu ngoma iligoma kusimamia nilihamaga mtaa
Shikamoo mkuuππππ hii ndio njia rahisi sana, ila ukiwa na haraka haraka wazungu nao kupitia akili wanapewa taarifa wafanye haraka. Hii nime prove na wataalamu wame prove, ukienda show time kwa wale wadada wa vibandani dk chache unapiga kitu, kwasababu unailazimisha akili na akili itume signal kwamba wazungu wafanye haraka, hapo hapo nenda kwa mtu wako akili inakuwa inajua huna haraka inatuma signal za taratibu so unachelewa ππππ
Safi sana jirani
ππππMambo hayapendayo satoh Hirosh[emoji39][emoji39]..Zigo la kuvunja Chaga
π€£π€£π€£
Karibu brooNije tujumuike wote
ππ command center huwa ni akili .. hapo ndio michongo yote hufanyika , ukitaka dk moja inatoa order ukitaka dk 10 flesh.. mfano wachukua sheria wote huamua watumie mda mzungu atoke.. ndio utajua kuwa ni swala la akili zaidiShikamoo mkuuπ
Nitakua broo wa hiariKaribu broo
Nimefurahi upo jirani...weekend imependeza..View attachment 2271898
Niambie jirani
Wewe kila kitu kinakushinda Kwa nn Kaka? ujue Rumaiya anakushusha vyeo Mzee Baba!!?Mm walishanishinda hao wazungu
Hakika jiraniNimefurahi upo jirani...weekend imependeza..
Hahahaaa.. kweli Satoh!Hahahaha [emoji28]..Nimejikuta Tu nacheka Kwa hii comment
Waambie vijana hao, sijui wanakwama wapiππ command center huwa ni akili .. hapo ndio michongo yote hufanyika , ukitaka dk moja inatoa order ukitaka dk 10 flesh.. mfano wachukua sheria wote huamua watumie mda mzungu atoke.. ndio utajua kuwa ni swala la akili zaidi
Loo baki hapohapo kipenzi wewe teinaaa!!ππππNamimi nilioneπ
Huo mzigo mm siuwezi Kaka nisije aibika humu JFWewe kila kitu kinakushinda Kwa nn Kaka? ujue Rumaiya anakushusha vyeo Mzee Baba!!?
Ujue me sipendi anavyojishusha bana[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Embu muache kaka angu
Watu humu ni moto, nyie mnawabania sasa ndio shida πππWaambie vijana hao, sijui wanakwama wapi
Usiwaze mr vocha wanijua sinaga mbambamba kabisa!!!πHii si ya kukosa hii wallah