Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,777
😂😂😂😂Umeiba status ya nanii
Nimeiposti leo wazzup...nikaona niitumie hii hii since ni ya leo leo
😂😂😂😂Umeiba status ya nanii
Kweli kabisaAisee
Tukutane mahali penye utulivu mkuuHata hapa hapa
Nadhan atatukumbuka mkuuHapa inabidi connection bila hivyo tutasikia fununu.
Boss tukumbukane hapo kwa screenshot
Naomba shikamoo zangu kuanzia Leo 😍
Nataka za warembo wa kike kama wewe. Wawe wa kike kweliTeyari ninazo za wakaka. Unazitaka?
😂😂😂😂Usijikute we binti😘😘Naomba shikamoo zangu kuanzia Leo 😍
Woyoooooooo 😍😍😍😍
We me ni mama 😂😂😂😂😂Usijikute we binti😘😘
Dawa yake kunywa glass moja ya MREPS kila siku asubuhi na jioniNdio
Tena mwenye watoto watatu🤣🤣We me ni mama 😂
Hajiamini na kiuno alichopewa na mama yake ?Naona ni dada kweli ila picha sio zake
African beauty
Every picture that you post we comment on each one.
Hongera sana kwa moyo mzuri ni wachache sana wanaoweza kufanya hivyo.Watoto ni watoto aisee, haina wa kambo wala wa tumbo