Watafuta thikisi paki
Marahaba, hujambo?Shikamoo madam
Hayo yoteSi wanawasha feni,, au wenye AC full burudani.
Tamu mnooo😍Nyimbo tamu sana hiyo….
Mwenzio natetemeka hapa, baridi hadi masikioni 😔
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tufunge 40 kavu mlimani junia asiambukizwe ubishi na utata
Yah. Katika harakati za kummendea DepalWatafuta thikisi paki
Wigelekelo sema napokeaaaa!Bwana akuangazie nuru za uso wake na kukufadhili, akuinulie uso wake na kukupa amani.
Smart way unayopendekeza wewe ni ipi Mkuu?Kumbe!
Mniwie radhi kwa kuminya haki yenu.
Pia, nakupongeza sana kwa juhudi za utetezi wa haki zenu.
Ingawa makubaliano bila control ya utekelezaji wa makubaliano ni sawa na bure.
I challenge you kutetea haki zenu in a smart way.
Nliweka bhana nawee.Weka bana hatujakaona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ilikua ya maajabu, mara dalili za mimba, yaan ni kisanga.Hee[emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]
Homa gani?
Hapo sasa kingeumanaaa, wooooiiiiiihKukaa nje uwe na valid reason.
Yaani hostel zinabaki kabisa eti wewe ukakae nje[emoji23]
Halafu kukaa nje ni changamoto..chuo kipo mbali kile..
System ya vipindi yenyewe imewekwa kwa kuconsider wanafunzi wote wapo hostel...sometimes mnafanya test saa kumi na moja Alfajiri.
Sasa kakae nje uone mziki wake[emoji23].
Wacha wee?? Ukanipiga exile, ila wee, daaah.H
.Sijakususa shos angu naanzaje kukufanyia hivo mimii!!![emoji8][emoji8]
Raha ya urungu ikizama kunako hadi kizazi kunasogea nyuma.Hahahaaaaaa!!! Kutoana kizazi tena mbona hatari hio!!
Halafu iweje[emoji848]
Akikujibu niite