Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Dunia haiko fairMimi ndo siupendi dah
Tungekuwa tunaweza kubadilishna jamani
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Dunia haiko fairMimi ndo siupendi dah
SYBDunia haiko fair
Tungekuwa tunaweza kubadilishna jamani
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ndiyo mpendwa😂
Tulia wewe,SYB
Alishakwambia
Totoa kitu
Uone utavyofumka
Hicho kiuno nyigu huku
Tako kule
Utege hapo
Kifua kilee
Mzima dearMzima mamy
Saangapi niweke benchi hapa
KhaaNdiyo mpendwa![]()



😂😂😂wigeeNdio
Alichotaka kusikia
Na umempa kile alichotaka
Kituo kinachofuata ni kikali zaidi
Nina vitu vyangu
Vya kuangalia
Imebidi nirejee tena
Pale kwa juu eeh

😂😂😂😂Wacha
Jamani stay tuned kuona lokesheni mupyaaaaaaaa.
Wii mnaupiga mkubwa
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kina nguo na nguoHahahahaaaa.. kitambi kipo siku zote si nakwambiaga lakini!!![]()
Hahaha eti bonge la baba ,hamna niko vilevile.usiogope..unaanzaje kumuogopa kaka yako??Nilikumiss zaidi.
Few days ago I was passing through the old pages.
Nikaona I'd yako..nikakukumbuka.
Naona umejua bonge la baba hadi nimeogopa.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂😂
Nimestuka kweli.Hahaha eti bonge la baba ,hamna niko vilevile.usiogope..unaanzaje kumuogopa kaka yako??
Sasa hvi utakuwa unaniona sana tu


Yule QueenDeby sijui yupo wapi.
Anne una vituko..nimecheka wallah

Safi sana jirani..
🙏🙏Safi sana jirani..
Mwakani..inshallah😂
😂😂😂😂😂😂😂Yule QueenDeby sijui yupo wapi.
Ni ndugu yako nadhani.
Tupia picha mama shepu
Uzuri hakuna anayekufikia humu kwa gushepu .hata kubinuke vipi bado upo kilekeni.
Yaani shepu yako haihitaji hata kutega Camera karibu ili ionekane.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app