Selfika na JF: Snap it. Show it

Mmeanza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimesema tu mkuu, reputation matters a lot. Huyu member sijawahi hata kuona akiwa active, amekuja mahsusi kutuonyesha alivyo mtam
mbona kina Sakayo ni visu hatari na hatuhoji
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mmekuja kuoneshwa sio? Na sahiii hata mishahara hamjamaliza vzuri vzuri
 
Saizi huu uzi unakoelekea ukiona picha yenye kuleta taharuki nafsini mwako kabla hujacomment zile Wow Wow inabidi ufanye kwanza upembuzi yakinifu ili kujithibitishia jinsia ya mtumaji. Maana unaweza kukuta umemtumia emoji ya makopa kopa mwanaume mwenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…