Huwa natamani nikushike mkono tu niridhike wewe dada.
To be honest umeonyesha u muungwana sana na umemeintaini ubora wako kwa miaka sasa.
Mungu akupe maisha marefu.
Ninakukubali na ninakupenda bure ya bure