Mwanamme ana shape bomba huyo hatari yaani portable kweli kweli. Huyu
Christine1 ni mrembo acha kabisa. Naona leo jioni nitufarahi company yake.
Mzeya usikosekane basi hapo area maana sii unajua tena sie bodaboda hatuna hela ya kuoda msosi wa mrembo bill nakuachia wewe mkuu