Mtoto mkariiiii toa mikono hiyo kwa uso
Deni lako leo halilali.Saint Anne ukifika ututumie video za moja kwa moja toka viwanjani hapo.
Ondoa mikono Lovelovie
Uoo na zigo hatari hapo...hii lazima umwage ubongo
We love you more Mkuu.Nimeumisi sana huu uzi, aisee nawasalimia wote, maisha mda mwingine yananyima nafasi ya kuwa karibu na ndugu, jamaa na marafiki...mliopo tz wengi wenu najua huu mwezi ulikuwa mgumu sana kwenu hasa kwa wafanyabiashara, ila unaisha all LOVE from the wolf
Nilimwaga moyo jana 😄😄😄Uoo na zigo hatari hapo...hii lazima umwage ubongo
Ndio maana mie huwa sifungi mlango 🤣🤣
Watu watajifunzia ujuzi kwako mkuu...Ndio maana mie huwa sifungi mlango 🤣🤣