kabisa shos akeee utaona saprize TU mie teinnnaaaa mbona wanijua ! Yani pale pale niliongea na bosi akee fastaaa! Emergency ikatokea dia ila sitakagi madeni mie nairudisha ASAP😘😘
kabisa shos akeee utaona saprize TU mie teinnnaaaa mbona wanijua ! Yani pale pale niliongea na bosi akee fastaaa! Emergency ikatokea dia ila sitakagi madeni mie nairudisha ASAP
Semaa wee mwenzangu, hivi mtoto mkali km mie tukifika California anashangaa mie nabebwa na niggah m1 hao tunasepaaa, na venye nna swagga za kule watamshangaa huyu cuzooo mie kaniokota wapi, Au mie nimekutwa na nn nikaangukia kwa cuzoooo.