myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
Amin..Iwe siku yenye Amani..
Njoo uchukue joto π«Hii baridi ya leo π©π©
Nitumie kwa BM coach π©Njoo uchukue joto π«
ππ Unataka nyuzi joto ngapi .. nikujazilizieNitumie kwa BM coach π©
Hujambo jirani....Kunywa kahawa jiran.Hii baridi ya leo π©π©
We jazia za ujazo ππππ Unataka nyuzi joto ngapi .. nikujazilizie
Jirani baridi ni kali leo πHujambo jirani....Kunywa kahawa jiran.
33β°C itapendeza eeehWe jazia za ujazo ππ
Na uweke vocha..
Na shida na Mb zakupakulia Mamuvii
The weekend is around the corner.
Oh kumbe!Ilibidi niombe msaada kwa Max
Kikubwa kinachotakiwa ni ku apdate email yako hapo kwenye setting yako, uweke ile inayopatikana ndo mfumo wa sasa unavohitaji coz kumekua na emails fake nyingi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu
Utata
Umefuraaahi Uzi nilioanzishiwa kufutwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Kabisa, maana hali ya leo sio poaβ¦33β°C itapendeza eeeh
Unajua pa kunipata πππ
Uje kwanza uyaogeee πππ
πππππ Eeeh! Utalia alafu utafurahi πKabisa, maana hali ya leo sio poaβ¦
π€£π€£ usinifanyie hivyo, ninaweza kulia mpaka majirani wasikie π
Duh!!! Pole sana jirani na muda wa mahindi ya kuchoma bado..Jirani baridi ni kali leo π
Na mama Klaree eti hajapika mtori jamaniβ¦