Kuna picha yako moja niliiona umekaa kwenye gari miaka miwili/mitatu iliyo pita ukitumia lile jina lingine,nikajisemea tu moyoni..."hiki kitoto kitakuja kuwa kizuri kisipojiharibu rangi...!!"
Ile picha ilikuwa naiangalia mara kwa mara hadi upepo wa ukaguzi ulipo pita bila taarifa...