Aaah blue tickπππ
Af hata nina sababu ya msingi basi!π€£π€£
Ila whatsap yangu ya kawaida, nitumie ile video banaπ
Hua najisahau kama nina snap, najikuta nishajipiga camera ya kawaida, nitaanza mazoez sasa kila asbh nijisnap had niizoeeπ