Hahahahaaaa!! Hatare sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa bae wangu mwenyewe anayaona nikiyaweka kwa kabati hatashangaa, navaaga ili nje bae wangu ajisifie kwa wenzake kuwa ana sehemu ya kushika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaaaa!! Hatare sana
Hujambo.....Mkuu selfika⦠sio unapitisha tu likes
Sina jambo, but nitakuwa nalo ukiselfika..Hujambo.....
Natumia pc jirani..Sina jambo, but nitakuwa nalo ukiselfika..
πππ basi endelea kujichangaMatako ya mchongo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Taiti hazioneshi wowowo. Yaan 65 n bajeti yangu ya mwezi..
Mihogo na miguu ya kuku. Burudaaan.
Hata pc ziko na ma folders ya picha⦠usinifanyie hivyoNatumia pc jirani..
Jirani yetu wa selfika tubariki jamani simu haijapona tu!!Natumia pc jirani..
Najichanga changa hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1] basi endelea kujichanga
Natafuta pesa ninunue ingine jirani...Jirani yetu wa selfika tubariki jamani simu haijapona tu!!
Nipashe who? Which? Whereπ€£π€£π€£Since weβre washua pro max π
Kwani wewe jamani si ulikuwa unasoma magazeti ya Nipashe ππ
Nails are well done π₯°
Nimepigia tu picha, nijiumize kichwa kisa nini na hela ya panado sina mieππVidoleeeππ
Hayo magazeti unayosoma mrembo ni magumu mnooo, mimi itanichukua wiki nzima kuelewa huo ukurasa mmoja tuπ
Unazingua jirani najua Hutaki tukupiaa jirani!!Natafuta pesa ninunue ingine jirani...
Watasababisha sasa tunaopanda daladala watu wapige chabo id zetu watutambue mwee.Nimedandia gari kwa mbele π
Kila mmoja Akiwa katika Id yake anaona mduara wa kijani ila member wengine unawaona wana maduara ya mekundu!π
Yanii itabidi ukiwa mazingira fulani no way ni kuweka silent tu na kuchat kwa kujificha ficha aarggggh Sijapenda kwakweli!!!Watasababisha sasa tunaopanda daladala watu wapige chabo id zetu watutambue mwee.
Itabidi sasa tuchat kwa kujificha tukiwa kwenye umati
Ahsante mkuu π
Sasa kwanini hauna gari shost π€£π€£π€£π€£π€£Watasababisha sasa tunaopanda daladala watu wapige chabo id zetu watutambue mwee.
Itabidi sasa tuchat kwa kujificha tukiwa kwenye umati
Alooooooo kumbe tunachat na Wakurugenzi humu yesuuuuuu!!