Selfika na JF: Snap it. Show it

Hao sponsors wasijekuwa na mambo kama yule muheshimiwa wa kidampa. Utadanga wee ila huendelei ng'ooo zaidi ya kula na kulala hotel nzuri.

Hongera zake lakini, angalau ameona mikato ya chumba
mama malezi kuwa na hurumaaa. Sponsors wabayaa sana, wanachukua nyota zako na kukuacha juu, ukihaha na life.

Ila watu wabayaaaa, kingne kismati mwayaa kuhongwa cash mkononi sio rahisi hvyooo. Uwiiiiih
 
mama malezi kuwa na hurumaaa. Sponsors wabayaa sana, wanachukua nyota zako na kukuacha juu, ukihaha na life.

Ila watu wabayaaaa, kingne kismati mwayaa kuhongwa cash mkononi sio rahisi hvyooo. Uwiiiiih
Mie kwenye ubuyu sifuri inanihusu yani ni sielewiii hata Mojaaa
!!

Nikapumzishe fuvu kidogo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…