Hebu acheni huo ubuyu tupieni picha hata za meza basi
HayaHuu ubuyu mtamu dada wa zenji huu,, picha tatupia saa nane za usiku kwa saa za afrika mashariki baadhi ya viumbe vikiwa vimelala..
Atakapo oleka mitala ndio ataeleea ni nani zed [emoji23][emoji23]
Hatutaki umtaje[emoji1787]
Depal ananishuku naye jamani[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]hampati mtu huyo!!
I just used my analytical mind mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umetumia vigezo gani??
It was 3 yrs ago...
Yeaaa nilibadiri koti
Hujalijua tu?Kwani kabla ya hili ulivaa lipi yawezekana nalijua hilo koti??
Kwani kabla ya hili ulivaa lipi yawezekana nalijua hilo koti??
Karma wa kishua.
Mimi maisha yangu ya huku bush kushinda shamba kung'oa mpunga
Hahaha shikamoo.. sio mzee kiivo. Nakubali umenishinda umri[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]eenh?? Nipe shikamoo yangu joh kabla sijaujua umri wako nipe kwanza shikamoo halafu ndiyo tutaulizana umri maana nina uhakika haujanifikia!!
Hivi umeona popote humu picha zangu za vidole au miguu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hivi unajua hata kulima wewe?? Hata kama unajua basi nina uhakika haunifikii mimi!! Watu naona mnapost picha mna vidole vilaini wengine picha zetu tunaogopa hata kuonesha vidole maana vina sugu za fimbo na majembe
Leo nimekubahatisha[emoji3590][emoji7]Habari za humu ndani!!!View attachment 1253893
Hivi mliishia wapi!?
Wewe na z?
Habari za humu ndani!!!View attachment 1253893
Windo gani Hilo shoga?[emoji3526][emoji2960][emoji7][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tuliishia kwa muwindaji kukosa windo na kuamua kutafuta windo jingine ambalo nalo sijui kama alilipata