Kuna connections pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] LinkedIn ni utapeli tyuuh, nilitoka kulee khaaaaj
Naomba namba 4 mkemia[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inasemekana! [emoji6]
Afu wewe zungu la roho sana[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inasemekana! [emoji6]
Daah mie sio mtu wa mshahara tarehe huwa sihesabu ujue🤣🤣🤣Tar 18 leo ujue
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yna2 afanye wepesi akupasie mmoja shos mi mwenyewe nijikongoja ivoivo [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna mie msimbe sasa.
Sawa sawa mamaa twangoja upone vizuri![emoji134][emoji1787][emoji1787] subiri niwe vyema, subiri niwe vyema kidgo. Ntatupia face kbs[emoji2218]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] una bahati soon nilikua naaga hahahaaa!!Naomba namba 4 mkemia
[emoji23][emoji23] ananiletea lugha za kidokta mimi mwalimu[emoji1787]
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yna2 afanye wepesi akupasie shos mi mwenyewe nijikongoja ivoivo [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
[emoji23][emoji23] ananiletea lugha za kidokta mimi mwalimu
Naomba na mimi nilale mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] una bahati soon nilikua naaga hahahaaa!!
[emoji1787][emoji1787] niutoe wapi mimiii. Nimepigwa pasi tuu.Toto lenye zigo umewasili?[emoji23][emoji23]
😂😂🤣🤣🤣🤣 ukweri ukweri mtupu shougaa udugu kujaliana mamy!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣..
Namkaribisha tushee 😂😂😂😂kizuri kula na mwenzio..au naongopa shoo!!??🤣🤣
Nimeshamtajia, ni hiyo tramadol. Itabidi nimfuate dkt pm kbs [emoji23][emoji23][emoji2218][emoji2218]Unaumwa vidonda vya tumbo umesema amekutajia possible matibabu (dawa) na route zake pantoprazole inachomwa IV (intravenously) mshipa na hio ya maumivu inachomwa kwenye msuli (tako) au Iv
Unataka nini mtoto mzuri 🤣🤣🤣Jisahaulishe tu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wee mie pia tunaambatana msintanie Nani anataka kuachika weeehhh!! [emoji126][emoji6]
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna shem wako m1 alikua ananambia "taratibu bas nawee utaniangusha hilo uno km feni mbovu iliyokosa break". Eti nitulie nisimwage uno weee
Nkamuambia sikwenda unyagoni kumshangaa nyakanga, nilikwenda darasani, kaa kwa kutulia wee nishikilie ukianguka shauri yako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ogopa matapeli hakna mngoni asiyejua kudondosha moja moja
Unooooooooh.
Haswaa Yani. Usiombe awe anafundisha watu wazimaYan fuso imekula turubai ila nzigo inaonekana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣We ukinuna mwaka huo Tz itakufa na njaa kwani haitanyesha