Nataka beer mbili na nyama choma, na kwenye beer uonje kidogo, tukitoka hapo twende kidimbwi watu wanapozikia pesa, nasikia kuna misiba ya pesa hapo, ukinichukulia beer zingine mbili Anne sintokusahau hata unyoe upara.
Tofauti na hapo siweki picha, na ukiniahidi tunatoka tutoke nipo serious.