myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Jirani...Usiwaze Nikipiga ya nyuma nitakutag mamdo!
Jirani...Usiwaze Nikipiga ya nyuma nitakutag mamdo!
Unaniita mamdo ngoja nitafute hela tuUsiwaze Nikipiga ya nyuma nitakutag mamdo!
Abeee jiranii!Jirani...
😂😂😂😂😂😂!!Unaniita mamdo ngoja nitafute hela tu
Mtasubiri sanaIna maana hiyo vocha huirushi hapa laivu tuigombanie?![]()
Ngoja nirekebishe kisimu change jirani..kesho ntawekaAbeee jiranii!
Selfika basi leo nikuone jirani !!
Lugha zenu za mama zinakufa eti ukabila. Zizungumzeni na kuziandika kila inapowezekana na msizionee aibu eti ni ushamba...Ukabila sasa
Mpare mwenzangu uko wapi tufanye yetu na sisi

Wewe Kila siku unatupiga kalenda tu!😌Ngoja nirekebishe kisimu change jirani..kesho ntaweka
Usijali jirani...Kila siku unatupiga kalenda!!😌
Lazima nijali!! Naomba selfii yako.....Usijali jirani...
Ntiweka jirani....maalum.Lazima nijali!! Naomba selfii yako.....
Basi sauwaa jirani!!!Ntiweka jirani....maalum.
Guyz wikiend imeanza ngoja tukazurure tu nikatafute shimwaa tu View attachment 2264135
Mwagilia sio…
Kuumwagilia

Karibu...Basi sauwaa jirani!!!
Jirani upo..Kuumwagilia![]()