waja wana laana aisee yaani humu humu tunabadilishwa hadi jinsia,, wewe itakuwa ni sababu ya jina lako lilivyo..
Nimekumbuka kuna uzi mtu kaanzisha eti ni member gani humu unayetamani kufanya naye mapenzi kuna mtu akajibu humu mwanaume hachelewi kumtaja mtu akidhani ni mwanamke kumbe dume lenzie