Selfika na JF: Snap it. Show it

Mie Sili sana shos nashangaa tu hiki kitambi sijui kinatoka wapi yani nakula kidogo mnoo!! Nina mayai mengi sana shos ungekua huku ningekuletea tu shos akee!!
Kwa jinsi ninavyopakia msosi, sinenepi bas tyuuh, kwenye kula sijibani.
niliwahi enda hotel fulaan, nikipakia msosi, niliyeenda nae akanambia nimemuaibisha, nkamjibu ulitaka nitapike? Kwan tuliagiza menu ilu tule au tumwage,
Eti nibakize kidogo, mbna hela hatubakizi kdg tunatoa yote kulingana na bei, msieeeeew.

 
Daaah watu tupo tofauti sana, tarehe 03 nilikuwa dodoma maeneo ya ILAZO,baadae jioni nikaenda na...wangu kupata msosi kule CBE eti alataka kubakiza nyama kashiba.....nilamwambia azimalizie kwa lazima na alizifuta zote.

Nikahundua wengine huwa wanavunga kwa kuhisi wataaibika kwetu kumbe sio, me kwakweli huwa napenda nikianza kula nile HASWAAA.
 
Hahahaaa!! Mie napenda kula kula ila kidogo kidogo na kwa awamu!! Hapo saa 11 juoni nilikula tena kidogo!!
 
Mie Sitaki utani nikibakiza huwa nawaambia wahudumu wanifungie naondoka nacho siachi kitu aisee!!
 
ndyoo hasa wadada etii oooh mdada kula sana ni aibu, wakiwa peke yao wanakafua msosi km tipper ya beba kokoto, ila wakiwa na... Zao au sehemu ya wazi wanajibana.

Sina muda huo, nakula had nishibe, nisiposhiba naongeza labda hela isiwepo,
 
Hahaha
Kula usibakishe kitu hiyo ndo kauli mbiu yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…