myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
Nimefurahia kitu jirani...hongeraNambie jiranii!!
Soon nakutag mkuuπfinancial services nibariki na moja hawa bus driver wangu
Tulia mkuu verysoon mafuriko ya pesa mtaani usihofuπππ Sema kipindi hiki ramani hazina North wala South.. ukisema unachoma mafuta kila siku.. lazima roho ikuume. Haya mambo ya nyakati zake..
NasubiriSoon nakutag mkuuπ
Wewe huyu huyu?Soon nakutag mkuuπ
Weee nilikuita Mpaka basi yani!!Nishaweka sana ujue sema juzikati ulipotea mdogo wangu!Namba 9 had leo
Majukum mkemiaa niwekee basi hapa saivWeee nilikuita Mpaka basi yani!!Nishaweka sana ujue sema juzikati ulipotea mdogo wangu!
ππππ mafuriko yatokee wapi aisee.. ni kukaza tu.. Kila system inapoingia madarakani kwenye nchi yetu hasa mambo hupalanganyika.. huchukua mda kidogo kwenda na beatTulia mkuu verysoon mafuriko ya pesa mtaani usihofu
Strawbella@Strawbella Alayna wherayuuuu????! come this way pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!
The beautiful Tonnia, hapo ni saloon bila shakaNikapumzishe fuvu langu wapendwa
Mlale unono!![emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]View attachment 2263163
πππππππLips and eyes marvelous
Yes una wasiwasi kwani? πWewe huyu huyu?
Inategemea sector yako mkuuππππ mafuriko yatokee wapi aisee.. ni kukaza tu.. Kila system inapoingia madarakani kwenye nchi yetu hasa mambo hupalanganyika.. huchukua mda kidogo kwenda na beat
Yes mamy nilikua nasuka hapo!!The beautiful Tonnia, hapo ni saloon bila shaka
Ok niceπYes mamy nilikua nasuka hapo!!
Unitag nione uumbaji totooYes una wasiwasi kwani? π
Doh unajua simu yangu juzikati ilizingua kweli sijui kama ipoMajukum mkemiaa niwekee basi hapa saiv
Mmmh sawaDoh unajua simu yangu juzikati ilizingua kweli sijui kama ipo
Acha tuone, kama system ita tu accept au ita tu reject πππ..Inategemea sector yako mkuu