Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,576
- 235,419
Zile kaptura atazitia kiberiti.Hahaha naomba usimpeleke kabisa. Wewe tu imekushinda, yeye ndiyo atatoka nduki kabisa. Na utamvalisha suruali gani?
Aah wapi. Yeye ndiyo mkubwa kwao. Ngoja tuendelee na maandalizi ya vacation yetu😂😂
Ah okayYeeeh ilikuwa test
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aah wapi. Yeye ndiyo mkubwa kwao. Ngoja tuendelee na maandalizi ya vacation yetu[emoji23][emoji23]
Pole sana nkamu gwangu, hopeful you will bounce back to [emoji151][emoji151][emoji151][emoji151][emoji151] soonest. Keep 'em blocks for now
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nkamu unataka kuwa kimodo?
Baki hapo hapo...55 huwezi kufika.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nkamuuuuuuuu[emoji140][emoji140][emoji140][emoji140][emoji3059][emoji3059]
Hizo kg 68 ni zangu za sasa.
Wee !!Nkamu nakutamani sana ujue
una kamwili kataamu usinenepe
Nkamu tutapishana njiani, ngoja niongezeke kidogo 😂😂.Thank you Nkamu[emoji3059]
Nkamu nitakufikia tu hakuna namna
AiseeThem ni99as was nice and nasty with it. My fellow senior citizens know what's up.
View attachment 2262002
Nimegundua kuna watu vidole habiendani na miili.Nkamu tutapishana njiani, ngoja niongezeke kidogo [emoji23][emoji23].
68 utazifikia tu nkamu, umeupiga mwingi so far; from 91 sio mchezo. Afu kwenye picha mbona unaonekana una mwili wa kawaida tu?
Embu nitumie nioneNimegundua kuna watu vidole habiendani na miili.
Mimi ukiniangalia vidole vyangu utasema bonge la mtu..kumbe!!
Vipo huko juuEmbu nitumie nione