Selfika na JF: Snap it. Show it

Wengi bado hawajaelewa umuhimu wake lakini ni siri mojawapo kubwa ya kubakia na baby face miaka na miaka hasa kwenu mabinti.

Ni vyema kuwa mguu umepona. Mungu Aendelee kukubariki Nkamu. No more high heels though
Watanzania wengi wetu hatujali sana masuala ya ngozi mtu kapaka mafuta au lotion kamaliza.

Nimeanza na block heels😎😎 flat siwezi najiona siko smart nikiwa stable nitarudi kwenye sonkonko zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…